EPL UPDATES : PEP GUADIOLA KOCHA BORA EPL 2020/21


 OFFICIAL

-Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester City, Pep Guadiola, ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu nchini England (Premier League Manager of the season) kwa msimu wa 2020-21.





 pep GUADIOLA ametwaa tuzo hiyo baada ya siku chache zilizopita kutwaa ubingwa wa ligi kuu England 2020/21 akiwa na Klabu ya Manchester City

Tufuatilie Kwenye mitandao ya kijamii kwa
@Faceboo page|Sega Sports
@instagram | Sega Sports
WHATSAPP +255623087983

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

LAPTOP COMPUTER BURE

NYOTA watano wa Simba kesho wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni kipa namba tatu Ally Salim ambaye hayupo kwenye mpango wa Kocha Mkuu, Didier Gomes sawa na beki wa kushoto Gadiel Michael. Mwingine ni Jonas Mkude ambaye ana matatizo ya suala la nidhamu. Mbali na kiungo Mkude pia mshikaji wake Ibrahim Ajibu huyu yupo nje ya kikosi kwa kuwa anaumwa Malaria. Perfect Chikwende alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe