Machapisho

LAPTOP COMPUTER BURE

Picha
  Jiunge na chuo cha Mwanza General College ujipatie ofa kabambe ya laptop bure. Kozi zifuatazo zinatolewa hapa chuoni 1:Kozi ya kompyu 2: Kozi ya biashara 3: Kozi ya kifaransa 4: Kozi ya utalii. Na nyingine nyingi sana!!!!
Sega Sports express Media on line sports news ON LINE EVENT BOOKING Fill on a form to book MICT EDU VS SOB First Name Second Name YOU WILL BE PRESENT OR NOT? ..Select you response YES NO

🔴 LIVE UPDATE C_FOOT VS PSG KUPITIA SWGA SPORTS TV

Picha
 Na @Himidi Sega Mchezo wa ligi one kati ya c.Foot fc Vs Psg Utakuwa live updates kupitia kurasa za sega sega sports page  Facebook: Sega Sports Instagram: Sega Sports Twitter: Sega Sports

MATOKEO YA LIGI KUU ENGLAND WIKENDI HII

Picha
 @Geaorges Waka Manchester united, Arsenal wamepoteza mchezo wao huku Chelsea ikimalizi hasira ya Real madrid kwa southamptom.

NYOTA watano wa Simba kesho wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni kipa namba tatu Ally Salim ambaye hayupo kwenye mpango wa Kocha Mkuu, Didier Gomes sawa na beki wa kushoto Gadiel Michael. Mwingine ni Jonas Mkude ambaye ana matatizo ya suala la nidhamu. Mbali na kiungo Mkude pia mshikaji wake Ibrahim Ajibu huyu yupo nje ya kikosi kwa kuwa anaumwa Malaria. Perfect Chikwende alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe

Picha
 

BODI YA LIGI YAIONYA YANGA SPORTS CLUB

Picha
MTENDAJI Mkuu wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB) Almas Kasongo ameionya Yanga kuhusu kauli ya kutopeleka timu uwanjani na kusema kwamba kanuni zinataka kuishusha madaraja mawili timu itakayofanya kitendo hicho. Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu, mechi ya kiporo ya Simba na Yanga imepangwa kuchezwa Julai 3 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya ile ya Mei 8 kushindikana. Mechi hiyo awali ilipangwa kuchezwa Mei 8 lakini haikufanyika baada ya kutokea sintofahamu kutokana na serikali kuagizwa isogezwe mbele kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja usiku. Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli juzi alinukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kwamba hawautambui mchezo huo kwani wao walishamaliza tangu Mei 8. Kasongo alisema jana kanuni ziko wazi kuhusu timu itayoshindwa kutokea uwanjani ikiwa ni pamoja na kushushwa madaraja mawili. “Usipopeleka timu uwanjani timu husika inashuka madaraja mawili, bado sijajua msingi wa kauli ya huyo mtu ni nini, niwakumbushe viongozi wa soka kabla hu