Official blogg kwa Habari za michezo ⚽ na burudani kutoka pande zote za dunia
Pia USIKOSE Kutufuatilia kupitia page za Facebook|Sega Sports
Instagram|Sega Sports
MATOKEO YA LIGI KUU ENGLAND WIKENDI HII
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
@Geaorges Waka
Manchester united, Arsenal wamepoteza mchezo wao huku Chelsea ikimalizi hasira ya Real madrid kwa southamptom.
GOLI BORA LA ENGLAND PREMIER LEAGUE-EPL KWA MSIMU WA 2020/21 Goli lilifungwa na mchezaji wa Klabu ya Tottenham, Erick Lamala limechaguliwa kuwa bao bora la msimu wa Epl 2020/21 Mchezaji huyo wa Tottenham, Erick Lamala alilifunga bao hilo wakati timu yake ya Tottenham ikicheza na Timu ya washika bunduki Arsenal Fc katika mwendelezo wa ligi kuu England Follow Instagram|Sega Sports Like Facebook| Sega Sports
Jiunge na chuo cha Mwanza General College ujipatie ofa kabambe ya laptop bure. Kozi zifuatazo zinatolewa hapa chuoni 1:Kozi ya kompyu 2: Kozi ya biashara 3: Kozi ya kifaransa 4: Kozi ya utalii. Na nyingine nyingi sana!!!!
MTENDAJI Mkuu wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB) Almas Kasongo ameionya Yanga kuhusu kauli ya kutopeleka timu uwanjani na kusema kwamba kanuni zinataka kuishusha madaraja mawili timu itakayofanya kitendo hicho. Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu, mechi ya kiporo ya Simba na Yanga imepangwa kuchezwa Julai 3 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya ile ya Mei 8 kushindikana. Mechi hiyo awali ilipangwa kuchezwa Mei 8 lakini haikufanyika baada ya kutokea sintofahamu kutokana na serikali kuagizwa isogezwe mbele kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja usiku. Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli juzi alinukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kwamba hawautambui mchezo huo kwani wao walishamaliza tangu Mei 8. Kasongo alisema jana kanuni ziko wazi kuhusu timu itayoshindwa kutokea uwanjani ikiwa ni pamoja na kushushwa madaraja mawili. “Usipopeleka timu uwanjani timu husika inashuka madaraja mawili, bado sijajua msingi wa kauli ya huyo mtu ni nini, niwakumbushe viongozi wa soka kabla hu...
Maoni