GOLI BORA LA EPL 2020/21 HILI HAPA

GOLI BORA LA ENGLAND PREMIER LEAGUE-EPL KWA MSIMU WA 2020/21 




Goli lilifungwa na mchezaji wa Klabu ya Tottenham, Erick Lamala limechaguliwa kuwa bao bora la msimu wa Epl 2020/21



Mchezaji huyo wa Tottenham, Erick Lamala alilifunga bao hilo wakati timu yake ya Tottenham ikicheza na Timu ya washika bunduki Arsenal Fc katika mwendelezo wa ligi kuu England



Follow Instagram|Sega Sports

Like Facebook| Sega Sports
 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

LAPTOP COMPUTER BURE

NYOTA watano wa Simba kesho wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni kipa namba tatu Ally Salim ambaye hayupo kwenye mpango wa Kocha Mkuu, Didier Gomes sawa na beki wa kushoto Gadiel Michael. Mwingine ni Jonas Mkude ambaye ana matatizo ya suala la nidhamu. Mbali na kiungo Mkude pia mshikaji wake Ibrahim Ajibu huyu yupo nje ya kikosi kwa kuwa anaumwa Malaria. Perfect Chikwende alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe