MSIMU MPYA WA ENGLAND PREMIER LEAGUE 2021/21 KUANZA KUTIMUA VUMBI AUGOST 4,2021
Msimu mpya wa Ligi kuu kuanza kutimua vumbi katika viwanja tofautitofauti vya uingereza
Na @Himidi Absalomu Sega
Msimu mpya wa ligi kuu England (Premier League) unatarajiwa kuanza kutimua vumbi mara ifikapo tu Jumamosi, Augost 08,2021 na msimu huo utamalizika haraka iwezekanavyo JUMAPILI,22, May,2022.
Ratiba ya ligi kuu England MSIMU MPYA wa 2021/22 inatarajiwa kutolewa mnamo June, 16,2021 saa 09:00 Am
Facebook|Sega Sports
Instagram|Sega Sports
Whatsapp +255623087983
Maoni