REUBEN DIAS MCHEZAJI BORA EPL
Mlinzi wa klabu ya Manchester City, Ruben Dias ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu 2020/21 wa EPL, akiwabwaga Bruno Fernandes (Man United), Kevin De Bruyne (Man City), Jack Grealish (Aston Villa), Harry Kane (Spurs) na Mohamed Salah (Liverpool).
Like page zetu za
Facebook|Sega Sports
Instagram|Sega Sports
Maoni