Official blogg kwa Habari za michezo ⚽ na burudani kutoka pande zote za dunia
Pia USIKOSE Kutufuatilia kupitia page za Facebook|Sega Sports
Instagram|Sega Sports
Msimu mpya wa Ligi kuu kuanza kutimua vumbi katika viwanja tofautitofauti vya uingereza Na @ Himidi Absalomu Sega Msimu mpya wa ligi kuu England (Premier League) unatarajiwa kuanza kutimua vumbi mara ifikapo tu Jumamosi, Augost 08,2021 na msimu huo utamalizika haraka iwezekanavyo JUMAPILI,22, May,2022. Ratiba ya ligi kuu England MSIMU MPYA wa 2021/22 inatarajiwa kutolewa mnamo June, 16,2021 saa 09:00 Am Facebook|Sega Sports Instagram|Sega Sports Whatsapp +255623087983
GOLI BORA LA ENGLAND PREMIER LEAGUE-EPL KWA MSIMU WA 2020/21 Goli lilifungwa na mchezaji wa Klabu ya Tottenham, Erick Lamala limechaguliwa kuwa bao bora la msimu wa Epl 2020/21 Mchezaji huyo wa Tottenham, Erick Lamala alilifunga bao hilo wakati timu yake ya Tottenham ikicheza na Timu ya washika bunduki Arsenal Fc katika mwendelezo wa ligi kuu England Follow Instagram|Sega Sports Like Facebook| Sega Sports
OFFICIAL - Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester City, Pep Guadiola, ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu nchini England (Premier League Manager of the season) kwa msimu wa 2020-21. pep GUADIOLA ametwaa tuzo hiyo baada ya siku chache zilizopita kutwaa ubingwa wa ligi kuu England 2020/21 akiwa na Klabu ya Manchester City Tufuatilie Kwenye mitandao ya kijamii kwa @Faceboo page|Sega Sports @instagram | Sega Sports WHATSAPP +255623087983
Maoni