Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2021

BODI YA LIGI YAIONYA YANGA SPORTS CLUB

Picha
MTENDAJI Mkuu wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB) Almas Kasongo ameionya Yanga kuhusu kauli ya kutopeleka timu uwanjani na kusema kwamba kanuni zinataka kuishusha madaraja mawili timu itakayofanya kitendo hicho. Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu, mechi ya kiporo ya Simba na Yanga imepangwa kuchezwa Julai 3 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam baada ya ile ya Mei 8 kushindikana. Mechi hiyo awali ilipangwa kuchezwa Mei 8 lakini haikufanyika baada ya kutokea sintofahamu kutokana na serikali kuagizwa isogezwe mbele kutoka saa 11 jioni mpaka saa moja usiku. Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli juzi alinukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kwamba hawautambui mchezo huo kwani wao walishamaliza tangu Mei 8. Kasongo alisema jana kanuni ziko wazi kuhusu timu itayoshindwa kutokea uwanjani ikiwa ni pamoja na kushushwa madaraja mawili. “Usipopeleka timu uwanjani timu husika inashuka madaraja mawili, bado sijajua msingi wa kauli ya huyo mtu ni nini, niwakumbushe viongozi wa soka kabla hu

De BRUYNE HATAHATI EURO 202

Picha
  KE VIN De Bruyne huenda akakosa mechi ya ufunguzi ya Ubelgiji kwenye michuano ya Euro 2020 dhidi ya Urusi Juni 12, amesema Roberto Martinez. De Bruyne ni majeruhi baada ya kuumia usoni katika harakati za kuwania mpira dhidi ya beki wa Chelsea Antonio Rudiger kwenye mechi ya fainali za Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester City mwishoni mwa wiki iliyopita. Kiungo huyo hajatakiwa kufanyiwa upasuaji lakini Martinez hana hakika kama mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 atakuwa tayari. Kama De Bruyne hatorejea uwanjani, bosi wa Ubelgiji amethibitisha atavaa mask kama inayovaliwa na Jan Vertonghen baada ya kuumia akiichezea Tottenham miaka miwili iliyopita. Kevin De Bruyne alivunjika pua na kupata hitilafu kwenye jicho. Akizungumza mapema wiki hii, bosi wa Ubelgiji Martinez alisema De Bruyne ahitaji upasuaji. "De Bruyne anaonekana atakuwa fiti kwa mechi ya kwanza na kama atakuwa na mbadala nitasema.” "Tumefanya maamuzi kuhusu mask yake, itakuwa kama ile ya Jan Vertonghen.” "

GOLI BORA LA EPL 2020/21 HILI HAPA

Picha
GOLI BORA LA ENGLAND PREMIER LEAGUE-EPL KWA MSIMU WA 2020/21  Goli lilifungwa na mchezaji wa Klabu ya Tottenham, Erick Lamala limechaguliwa kuwa bao bora la msimu wa Epl 2020/21 Mchezaji huyo wa Tottenham, Erick Lamala alilifunga bao hilo wakati timu yake ya Tottenham ikicheza na Timu ya washika bunduki Arsenal Fc katika mwendelezo wa ligi kuu England Follow Instagram|Sega Sports Like Facebook| Sega Sports  

MSIMU MPYA WA ENGLAND PREMIER LEAGUE 2021/21 KUANZA KUTIMUA VUMBI AUGOST 4,2021

Picha
  Msimu mpya wa Ligi kuu  kuanza kutimua vumbi katika viwanja tofautitofauti vya uingereza Na @ Himidi Absalomu Sega Msimu mpya wa ligi kuu England (Premier League) unatarajiwa kuanza kutimua vumbi mara ifikapo tu Jumamosi, Augost 08,2021 na msimu huo utamalizika haraka iwezekanavyo JUMAPILI,22, May,2022. Ratiba ya ligi kuu England MSIMU MPYA wa 2021/22 inatarajiwa kutolewa mnamo June, 16,2021 saa 09:00 Am Facebook|Sega Sports Instagram|Sega Sports Whatsapp +255623087983

EPL UPDATES : PEP GUADIOLA KOCHA BORA EPL 2020/21

Picha
  OFFICIAL - Kocha Mkuu wa Klabu ya Manchester City, Pep Guadiola, ametwaa tuzo ya kocha bora wa ligi kuu nchini England (Premier League Manager of the season) kwa msimu wa 2020-21.   pep GUADIOLA ametwaa tuzo hiyo baada ya siku chache zilizopita kutwaa ubingwa wa ligi kuu England 2020/21 akiwa na Klabu ya Manchester City Tufuatilie Kwenye mitandao ya kijamii kwa @Faceboo page|Sega Sports @instagram | Sega Sports WHATSAPP +255623087983

BREAKING NEWS 🔥🔥 KAHATA FRANCIS AKIANGWA SIMBA SV

Picha
  KIUNGO wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Simba, Francis Nyambula Kahata amewaaga rasmi mashabiki, uongozi, Benchi la ufundi na wachezaji wa timu hiyo huku akisema muda umefika wa kutafta changamoto mpya huku akiwashukuru kwa sapoti yao. Taarifa zinadai kuwa, baada ya mkataba wake na Simba kumalizika, ameanza mazungumzo na Klabu ya El Merreikh ya Sudan, na hakuna taarifa yoyote ile ya Kusajiliwa na Klabu kutoka hapa Tanzania Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kahata amesema; “Ninaondoka nikiwa kifua mbele huku najivunia mafanikio ndani ya klabu. Umefika wakati wa kusema kwaheri kwenu nyote. Natakiwa kutafuta changamoto mpya na nafasi sehemu nyingine” Francis Kahata, akiwaaga na kuwashukuru viongozi, wachezaji pamoja na mashabiki wa Simba. It’s been a journey that is sweet, memorable and bitter since I first landed to this great country Tanzania. I received immense support and love from the executive team led by Mo Dewji,technical  staff, playing unit and Wanasimba fans. My gratitude g

REUBEN DIAS MCHEZAJI BORA EPL

Picha
Mlinzi wa klabu ya Manchester City, Ruben Dias ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu 2020/21 wa EPL, akiwabwaga Bruno Fernandes (Man United), Kevin De Bruyne (Man City), Jack Grealish (Aston Villa), Harry Kane (Spurs) na Mohamed Salah (Liverpool). Like page zetu za  Facebook|Sega Sports Instagram|Sega Sports  

KELVINI JOHN "MBAPPE" KILAKITU TAYARI

  BAADA ya kuzagaa kwa tetesi kuwa, KRC Genk imempiga chini straika kinda wa Kitanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, meneja wa kinda huyo, Mbaki Mutahaba amevunja ukimya na kufafanua kuwa kila kitu kipo freshi na wakati wowote nyota huyo anayekuja juu kitaelekewa wapi anaenda. BAADA ya kuzagaa kwa tetesi kuwa, KRC Genk imempiga chini straika kinda wa Kitanzania, Kelvin John ‘Mbappe’, meneja wa kinda huyo, Mbaki Mutahaba amevunja ukimya na kufafanua kuwa kila kitu kipo freshi na wakati wowote nyota huyo anayekuja juu kitaelekewa wapi anaenda. Mutahaba amesema straika huyo hakuwa na dili hilo la Genk tu, bali kuna wakali wengine barani Ulaya wanaomtaka Kelvin na mipango yote ipo kwenye mstari na muda mfupi ujao itawekwa wazi. Kuzagaa kwa tetesi za kupigwa chini kwa Kelvin kulichangiwa na ukimya uliokuwa umetawala huku akionekana kuwa nyumbani kwa kipindi kirefu tangu alipotumikia taifa wakati wa mashindano ya CECAFA kwa vijana U20 yaliyofanyika Arusha na yale ya Afcon yaliyofanyika Mauritania
Picha
 Ukurasa wa habari za MICHEZO na burudani

Habari za Sega sports

#include int main() { printf("Karibu ndani ya blog ya michezo na burudani ya sega sports\n\n"); printf ("Utapata habari za ligi kuu tano balani ulaya\n\n"); printf ("England"); printf("Spain"); printf("Italy"); printf("Ufaransa"); printf("Ujerumani"); return 0; }